Thursday, 2 June 2016

WANAFUNZI WALIOFUKUZWA UDOM, KUENDELEZWA KIMASOMO

Rais wa Tz Dk John Magufuli amesema kwamba wanafunzi waliotimuliwa ktk Chuo kikuu cha Dodoma wanachambuliwa ili wale waliofaulu vizuri watafutiwe namna yakuebdelezwa. Rais amesema kuwa kwa wale waliofeli watabaki ili watafute namna ya kujiendeleza, Rais aneobgeza kuwa baadhi ya wanafunzi hao hawaba sifa na cha jushangaza vyuo kuni vya ualinu wa dipkoma havina wanafunzi wa kutosha na kushangazwa na wanafunzi hao waliopelekwa chuo kikuu. Rais amewaasa watanzania kutoingiza siasa ktk mambo ya elimu kwani wanasiasa wengi wanaopigia kelele suala hilo ni wale waliofeli, Amesema kuwa alishangazwa na migomo ktk baadhi ya hivi vyuo na kuagiza uchunguzi"Unajua migomo mingine ni halali ila mingine inasaidia tu kuondolewa," Rais ameongeza kuwa baada ya uchunguzi huo ndio ikabainika kuwa wengine hawana sifa, na kusema kuwa alikuwa anasubiri na wanafunzi wa UDOM wagome ili awaondoe Wote.

No comments:

Post a Comment