Thursday, 2 June 2016
WANAFUNZI MSIKUBALI KUTUMIWA NA WANASIASA"RAIS MAGUFULI"
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz, Dk. John Nagufuli amewataka wanafunzi kutotumiwa na wanasiasa kwani siasa watazikuta tu. Rais ameyasema hayo wakati akihutubia wanafunzi wa Chuo hicho mapema leo alipokwenda chuoni hapo kuweka jiwe la msingi ktk Maktaba mpya choouoni hapo. Kuhusu suala la wanafunzi hao kugoma kwa kudai fedha za kujikimu, rais amesema kuwa kuchelewa kwa fedha hizo kumetokana na zoezi la uhakiki wa majina hewa ktk bodi ya mikopo, Rausi anewashukur wanafunzi wa chuo kikuu cha dodona anbao nao hawakupata fedha ila hawajagoma na kusema fedha zao wanaziproses ili ziwafikie. Rais pia ametumia Nafasi hiyo kumpongeza aliyekuwa katibu mkuu wa TCU prof. Mgaya aliyesimamishwa kazi na baada ya watu kuzungumzia suala hilo yeye akasimama na kusema Serikali haikufanya makosa kumsimamisha kwani ni katika kuboresha tu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment