Thursday, 2 June 2016
VILAZA NA MGOMO VYACHANGIA SAKATA LA UDOM
Rais wa Tz Dk. John Magufuli ameaema kuwa baadhi ya wanafunzi waliofukuzwa chuo kikuu cha Dodoma hawana sifa zakusoma Stashada ya Ualimu. Raisi amesema kuwabaadhi ya wanafunzi hao wanadaraja la tatu na la nne na baadhi yao ni watoto wa viongozi waliofeli huku watoto wa maskini wakiwa wamebaki mtaani wakiwa wamefaulu, Rais ameyasema hayo leo wakati akihutubia wanafunzi wa chuo kikui cha DSM leo. Rais amesema kuwa watoto wale walivyokuta mazingira magumu wakagoma naye akapata nafasi ya kwenda kuchunguza kuna nini na kugundua kuwa baadhi yao hawana sifa, rais amesema kuwa migomo mingine ni ya haki ila mingine inasaidia kufukuzwa tu. Aidha rais amewalaumu wanasiasa ealiopigia kelele suala hilo na kusema kuwa wanasiasa wenhi ni wale waliofeli hivyo kelele hizo ni sawa na nonsense, aidha amesema wanafunzi hao wengi waliokuwa wakipewa mkopo ni VILAZA na kwamba kwa wale wenye sifa wanachambuliwa ili waendelezwe ila wale waliofeli watafute vyuo vya saizi yao. Raisi ameshangazwa na kijazwa kwa wanafunzi zaidi ya elfu 7 udom huku vyuo kama butimba vikiwa havina wanafunzi, amesema kuwa alikuwa tu anasubiti UDOM nao wagome awafukuze, aidha amesema kuwa alimuuliza makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Kikula kuhusu suala hilo na kusema kuwa alishinikizwa na yeye kuona kuwa asingekubali angepoteza kazi. Amemmwagia Sifa Prof Kitila Mkumbo wa DUCE-UDSM na mwanachama mzuri wa ACT wazalendo kwa utafiti wake mzuri kuhusu masuala ya elimu ukilinganisha na wanasiasa eenhine. Rais Magufuli amesisitiza kufuata ianuni ktk Eliu na Siasa ndio ifuate, kwa kusema Tuwke Taifa mbele na Siasa itafuats
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment