Friday, 3 June 2016

UNATAKA KUPATA WATEJA KWA URAHISI POPOTE ULIPO? NJIA HII HAPA

Timu ya HABARI TANZANIA inawashukuruni sana wasomaji wake, ikiwa ipo ktk kipindi cha majaribio. Tunawajulisha wasoaji wetu wapendwa kuwa mmefikia zaidi ya 150 kwa siju tokakuanzishwa kwa blog yenu pendwa. Hivyo tunakaribisha maoni na ushauri, aidha kama unajambo lolote ungependa watu wajue kupitia blog yako pendwa unaweza kututafuta kupitia facebook, rajab shamy...tutapokea na kuiandika mara moja, njoo Inbox, hakikisha taarifa yako haimhusu mtu wala kugusa hisia za mtu ama kikundi chochote kwa njia ya kabila ama dini. Kama ungependa tukutangazie wew kama mdau wetu kitu unachokifanya, biashara, na kazi yeyote tutafute pia, tutakuwekea bure kabisa ktk kipindi hiki cha majaribio. Kwa wanafunzi wa vyuo kama unaujuzi ungependa watu wajue, na wakufate popote ulipo, bhaasi tujulishane, wajatti ni huu..njoo tujadiliane kuwainua vijana na taifa kwa ujumla...Wasiliana nasi kupitia barua pepe...shamrajjabu@gmail.com..!

No comments:

Post a Comment