Thursday, 16 June 2016
SIMU FEKI KUZIMWA MASAA MAWILI BAADAE
Mamlaka ya mawasiliano Tz, TCRA inatarajia kuzima simu zote Feki Masaa mawili baadae. Taarifa iliyotolewa na Kaimu mkurugenzi wa Mamlaka hiyo jana, imeeleza kuwa simu hizo feki zitazimwa leo ifikapo sa 11:59 usiku ambayo ni sawa na saa6 usiku.
Aidha mamlaka hiyo imesema kuwa mafundi simu wote kwasasa watahitaji kibali maalumu cha kutengeneza simu, pia amewataka watakaozimiwa simu hizo kuzihifadhi mahali salama. Mkurugenzi huyo ameeleza kuwa wameshatoa elimu ya kutosha kuhusu suala la simu feki hivyo hakutakuwa na md wa nyongeza katika zoezi hilola kuzima simu feki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment