Monday, 6 June 2016
RAMADHANI KAREEM
Kesho Waisilam Wa Tz, Na Duniani kote wanaanzaMfungo wa Mwezi wa Ramadhani huku baadhi wakiwa wameanza Mfungo huo leo. Funga ya Mwezi wa Ramadhani ni mojawapo ya Nguzo tano ktk Dibi ya kiisilam, Hivyo kwa minajiki hii, ndio inayotofautisha funga hii na Funga za Miezi mingine. Hapa kwa Mujibu wa Dini ya Kiisilam, Waisilamu wote hufunga kwa siku 30 au 29,na baadae iufungua kusherhekea Sikukuu ya Eid El-Fitry. Timu ya Habari Tanzania inawatakia waumini Wote wa Dini ya Kiisilam, Mfungo Mwema wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani. Tunamuomba Mungu Muweza Funga hii iwe ni yenye baraka na Sababu za kuiona Jannah. RAMADHAN MAQBOUL.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment