Saturday, 4 June 2016

"PROF.MKUMBO" SERIKALI HAIWEZI KWEPA LAWAMA SAKATA LA UDOM.

Mhadhiri wa Chuo kikuu UDSM Prof. Kitila Mkumbo amesema kuwa Serikali haiwezi kwepa lawama za Udahili wa wanafunzi wa Stashahada ya Sayansi ya ualimu UDOM, aidha amesema kuwa Seneti ya UDOM nayo inahusika ktk madhaifu hayo ualiojiyoleza. Mhadhiri huyo aliyemwagiwa Sifa Juzi na Rais Magufuli amesema kuwa udhaifu unaweza kuwepo TCU lakini serikali haiwezi kwepa lawama kwani ndio ilioanzisha udahili huo, kwa Upande wa Seneti ya Chuo kikuu cha UDOM mhadhili huyo amesema kuwa Chuo ndio kinachochagua wanafunzi wake wenye sifa na kazi ya TCU ni kudahili wanafunzi waliochaguliwa na sio kukichagulia chuo wanafunzi hivyo Seneti ndio ilipaswa kulaumiwa ktk kupokea wabafunzi hao"Kila chuo kinachagua wanafunzi wake na TCU inadahili hivyo chuo kinahusika moja kwa moja.

No comments:

Post a Comment