Monday, 13 June 2016

PROFESA LIPUMBA AOMBA KUWA MWENYEKITI WA CUF.

Habari za hivi punde zinaarifu kuwa prof. Lipumba ametengua barua yake ya kujiuzulu uwenyekiti wa CUF, uamuzi wake huo ameutoa leo katika mkutano wake na waandishi wa habari DAR. PROF Lipumba amemuandikia Katibu mkuu wa chama hicho maalim Seifu barua ya kutudia nafasi yake hiyo.

No comments:

Post a Comment