Rais Museven wa Uganda amemteua mkewe kuwa waziri wa Elimu Nchini humo. Rais Museveni amemtaja mkewe wakati akitangaza baraza lake la Mawaziri lenye jumla ya mawaziri na manaibu 80, Ktk hatua nyingine Rais Museveni amemfuta kazi Jaji mkuu wa nchi hiyo kazi na kuteua mwingune mara moja. Jaji huyo alikuwa akionekana kuwa na ushawishi katka kesi ya mpinzani wakeRais Museveni aliyoifungua Mahakama kuu nchini humo kupinga ushindi wa Rais huyo.
No comments:
Post a Comment