Wednesday, 1 June 2016
MAMA JANETH MAGUFULI AANZA ZIARA YA KIKAZI MIKOA YA KUSINI
Mke wa Rais Wa Tz, Mama Janeth Magufuli yuko ktk ziara ya kikazi ktk Mikoa ya kusini hususani mkoani Lindi, Jioni hii Picha mbalimbali zilionekana akipokewa na Viongozi wa serikali Mkoani Lindi ambapo baadhi ya viongozi ni pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi aidha Mama Salima Kikwete mke wa Rais Mstaafu Pamoja na Mama Mary Majaliwa ni baadhi ya wake wa viongozi walioonekana wakiwa na Mama Janeth Mahufuli, ambapo ktk Ziara hiyo Wanawake wa mkoa huo wakiongozwa na Mama Salima Kikwete Wamempatia Mke wa Raisi Zawadi ya Ungo huku Mama Salma Kikwete akimuahid Mke wa Rais kumuunga mkono ktk Juhudi zake za kutaka kuiletea Tz Maendeleo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment