Wednesday, 1 June 2016

HAKUNA MTU WALA JUMUIYA YA KUNIONDOA MADARAKANI, ASEMA DK. SHEIN.

Rais wa Zanzibar Dk. Shein amesema hakuna mtu wa kumuondoa madarakani kwa kuwa yeye ndio rais halali kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar. Dk Shein ameyasema hayo ktk ziara yake inayoendelea ya kuwafariji wananchi wa Pemba kutokana na hujuma wanazofanyiwa na wapinzani wake. Dk Shein amewataka wazanzibar kudumisha umoja na kuyakataa maneno ya uchochezi yanayotolewa na viongoz wa CUF ili Zanzibar Ibaki kwa amani. Hivi karibuni Ktk Ziara ya Aliyekuwa makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar kumekuwepo na Baadhi ya kauli zilizopelekea vyombo vya Dola kumhoji kiongozi huyomkuu wa Chama Cha CUF.

No comments:

Post a Comment