Wednesday, 1 June 2016

JKT YAONGEZA VIJANA, WA MUJIBU WA SHERIA KIDATO CHA SITA

Jeshi la kujenga Taifa limeongeza majina ya vijana wa mujibu wa sheria kidato cha sita. Pia baadhi ya vijana wamehamishwa makambi kutokana na sababu mbali mbali, wanatakiwa iuripoyti kabla ya tar 5 June , 2016. Tembelelea tovuti ya JKT kuionea jina lako kama ni mhusika na hukupangwa awali

No comments:

Post a Comment