Saturday, 4 June 2016

BAADA YA KUSUSA BUNGE CHADEMA YAAMUA HAYA.

Chama cha CHADEMA kimesema kitafanya mikutano ya hadhara nchi nzima kuishitaki Serikali kwa wananchi. Mratibu wa Mafunzo wa Chadema Sengo Bensoni amesema kuwa ziara hiyo itaanza Tar 7 june pale kahama. Aidha ziara hiyo itaendelea ktk maeneo mbalimbali kanda ya ziwa ikiwemo katoro, geita, lamadi, Bukoba, Katavi,Mwanza na maeneo mengine. Alisema kuwa mikutano hiyo itawaeleza wananchi ni kwa namna gani hawaridhiki na utumbuaji majipu na pia suala la kutorushwa kwa bunge. Alisema kuwa wajumbe wote wakuu watashiriki ktk mikutano hiyo akiwemo Mwebyekiti Mh. Freeman Mbowe, Lowasa na Wajumbe Wengine Hici majuzi Upinzani uliapa kususia vunge iwapo Litaongozwa na Naibu Spika Daktari Tulia Aksoni kwa Madai kuwa hawaridhiki na uendeshaji wake wa Chombo hicho cha kutunga Sheria za Nchi. Hata hivyo Vikao vya bunge vinaebselea kama kawaida na kujadili na kupitisha bajeti za Wizara mbalimbali ambapo karibia wizara zote zimeishana kwamba Tar 08/06/2016 Bajeti kuu ya Serikali inatarajia kuwasilishwa na Waziri mwenye zamana hiyo Dk. Mpango, Bajeti hiyo inafikia Tsh. 29/- Tilioni.

No comments:

Post a Comment