Sunday, 26 June 2016

RAIS APANGUSA WAKUU WA WILAYA, ATEUA WAPYA, MAGESA AKATWA, POLEPOLE AHAMISHIWA UBUNGO

Habari za hivi punde zinaarifu kuwa Rais wa Jamhuri ya Tz Dk. Magufuli amefanya mabadiliko kTika safu ya wakuu wa wilaya, ambapo jumla ya wakuu wa wilaya 139 wameteuliwa, Aidha Mkuu wa mkoa wa Mara Magesa Mulongo ametemwa katika uteuzi huo huku Mkuu wa Wilaya ya Musoma Hamphrey Polepole akihamishiwa wilaya mpya ya Ubungo. Utaipokea orodha rasmi ya mabadiliko haya mda mchache ujao.

No comments:

Post a Comment