Tuesday, 28 June 2016

PLEASE READ:VICTORIOUS GROUP-BAed-SAUT-2013-2016

Mwenyekiti wa Kikundi cha Taaluma cha VICTORIOUS,Shahada ya Elimu na Sanaa-BAed(GE&HI)-2013-2016 anawatangazia wanachama wake wote 16 kuwa tunampango wa kuandaa Hafla ya kuagana kama kikundi. Hafla hii itategemea utayari wa sisi sote wanachama watiifu wa kikundi chtu ambacho kimsingi kimefanikiwa kwa kiwango kikubwa kushughulika na Taaluma, tangu tufahamiane rasmi kati ya mwezi September na October,2013 hadi leo tunapotaraji kuifikia mwisho safari yetu ya elimu kwa awamu hii(Ngazi ya Shahada), Mungu wetu atujaalie mwisho mwema. Hivyo sasa,tukubaliane kama lini tuonane kukamilisha mazungumzo ya suala hili. Hili si la kukosa kwakweli, na tunawaahidi tutakaa kama mafundi na wajuzi wa mipango kuhakikisha kwamba haflainakuwa ya kawida ili mchango pia uwe wa kawida. Tunataraji kufanya tukio hili Tar za mwezi wa saba, hasahasa kuanzia tar 10-17 mwezi wa saba ndani ya tarehe hizo ili kutoa nafasi kwa kazi zetu zingine za kitaaluma kufanyika. Nawapenda sana. Asanteni sana. With regards:Rajab S. Omari. Mwenyekiti, Kikundi Cha Victorious-BAed-GE&HI-SAUT-M/ZA-2013-2016.

No comments:

Post a Comment