Thursday, 16 June 2016

Breaking news: Polisi waizingira nyumba ya Gwajima

Taarifa za hivi punde zinaarifu kuwa Polisi wameizingira nyumba ya Askofu Gwajima jijini Dar. Idadi ya polisi hao ni sita na walikuwa katika gari aina ya Landcruser. Bado hakuna sababu zilizotolewa kuhusiana na tukio hilo.

No comments:

Post a Comment