Wednesday, 6 July 2016

NDEGE YA MALYSIA ILIYOPTEA MWAKA 2014 KUCHUNGUZWA TANZANIA

Dar es Salaam. Unaikumbuka ndege aina ya Boeing 777 ya Shirika la Ndege la Malaysia, MH 370 iliyopotea Machi 8, 2014? Bawa mojawapo la ndege hiyo linadaiwa kupatikana hivi karibuni katika Kisiwa cha Kojani, Pemba na tayari wataalamu wa uchunguzi wa ndege kutoka Malaysia wanatarajia kuja nchini kulichunguza. Mkurugenzi wa Kanuni za Usalama wa Anga wa Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA), Redemptus Bugomola amesema wachunguzi wa ndege wanakusanya vipande vya bawa hilo tayari kwa

No comments:

Post a Comment