Tuesday, 5 July 2016
(ALLAH AKBARx3)..EID EL-MUBARAK
Manejimenti ya Blogi yako pendwa ya Habari Tz inawatakia waisilamu wote nchini na Duniani kote Sikukuu njema ya Eid El-Fitry. Tunakuombeni msherehekee kwa amani na Utulivu, ili kigezo cha kuwa Idd Ni Furaha kibaki palepale.
Waisilamu wote duniani na Tz, leo watasherehekea Sikukuu hii kutokana kuwa ktk mfungo wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani toka Tar6/7/06/2016. Hii ni miongoni mwa Nguzo Tano Za Dini ya Kiisilamu.
(ALLAH AKBARx3), Allah Akbar Kabiillah Walhamdullilaah Kathiira Wasubhaanallah Bukratan Wa-athiraa, Laaillaaha-illaah Allah Akabar Allah Akbar Wallilla ah Lihmdu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment